Namna gani tuna pashwa kusali
ENSEIGNANT : Paulin CHOKORO NDERHE Passage biblique à lire : Matthieu 5 : 15 Thème : Namna gani tuna pashwa kusali Version swahili 1. UKUMBUSHO WA SOMO LA SIKU YA TATU (LILILO TOLEWA NA MWALIMU ZALUMIRE) Je, ni wangapi leo huomba ili wapate vitu? Wengi wetu, kwa masikitiko, ndio hivyo. Yesu alivunja aina mbili za sala zisizo za kweli: · Sala ya unafiki (kuomba ili kuonekana), · Sala ya kipagani (kuomba ili kupata v itu kwa kulazimisha). Katika hotuba (Ce discours) hii, Yesu anaeleza sala ya kweli : Ni kilio cha mtoto kwa Baba yake, (Un cri d’enfant au Père) kinachomlenga Mungu, (Centré sur Dieu) huru kutokana na ubinafsi, (Libéré de l’Ego) chenye imani kwa msaada wa Mungu, (Confiant dans la providence divine) siyo mazoezi ya kidini. (Pas un exercice religieux) Kusifiwa , kuonyesha "ukaribu wao wa kiroho" (Impress...